GSM imezindua rasmi jezi za Yanga kwa ajili ya msimu wa ligi 2021/22
Mbunifu wa jezi hizo ni Sheria Ngowi, mmoja wa wabunifu wa Kimataifa wa mavazi nchini
Jezi rasmi kwa ajili ya timu ziko za aina tatu, nyumbani (kijani), ugenini (njano) na jezi ya tatu rangi nyeusi
Pia kuna matoleo mengine kwa ajili ya kusafiria, za viongozi na mashabiki








ADVERTISE HERE