Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Injinia Hersi Said, Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa na Mshauri wa Yanga Senzo Mazingisa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa Yanga ambao tayari wamewasili ukumbi wa Mlimani City tayari kwa ajili ya tukio la utambulisho wa jezi mpya
Wakati wowote Wananchi wataweza kushuhudia uzi huo wa Kimataifa ukiwekwa hadharani


ADVERTISE HERE