Hii ni Wiki ya Wananchi na kilele chake ni Jumapili, August 29 pale uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo kabla ya kuwashuhudia wachezaji wapya wakitambulishwa, kutakuwa na burudani mbalimbali
Historia itakwenda kuandikwa pale kwa Mkapa, Kamata tiketi yako mapema ukawe sehemu ya historia hiyo
Tiketi kuelekea tukio hilo tayari zimeanza kuuzwa kupitia vituo vilivyoainishwa na Yanga
Viingilio VIP A ni Tsh 30,000/-, VIP B na C ni Tsh 20,000/-, Mzunguuko ni Tsh 5,000/- wakati tiketi za Royal ni Tsh 200,000/-

ADVERTISE HERE