Wanachama na Mashabiki wa Yanga wakae tayari kwa kupokea uzi mpya kwa ajili ya msimu wa 2021/22
Tayari shehena ya kwanza ya jezi imewasili nchini, utambulisho wa jezi hizo ukitarajiwa kufanyika kabla ya August 29 siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi
Upo uwezekano mkubwa Jumatano au Alhamisi jezi hizo zitawekwa hadharani
Mara baada ya jezi hizo kutambulishwa, zitapatikana karibu nchi nzima kupitia maduka ya GSM na Mawakala wao
Mambo yameiva Jangwani...!
ADVERTISE HERE