Wiki ya Mwananchi imezinduliwa visiwani Zanzibar leo ambapo mapema asubuhi yalifanyika Maandamano ya Mshikamano na Amani ya Wanachama, Washabiki na Wapenzi wa Yanga wakitoka tawi la Yanga Karikoo mpaka yalipo makazi ya milele ya Hayati Mzee Abeid Karume eneo la kisiwandui Zanzibar kwa ajili ya kumuombea duwa







ADVERTISE HERE