Uzinduzi wiki ya Mwananchi mbashara Azam TV

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Aug 2021
Uzinduzi wiki ya Mwananchi mbashara Azam TV

Wiki ya Mwananchi inazinduliwa leo visiwani Zanzibar ambapo mgeni rasmi ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah

Matukio yote ya uzinduzi huo yatakuwa 'mbashara' kupitia Azam Tv

Azam TV ni washiriki wa Yanga baada ya kusaini mkataba wa haki za maudhui ambao Yanga itaingiza Bil 34.8 katika kipindi cha miaka 10

Tukio la uzinduzi litakuwa 'mbashara' kuanzia saa nne asubuhi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
14h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
18h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
19h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
19h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’