Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi nchini Morocco kujiandaa na mikiki mikiki ya msimu mpya wa mashindano ya ndani ya michuano ya Ligi ya Mabingwa
Katika mazoezi ya asubuhi Wananchi walifanya mazoezi ya nje ya uwanja wakikata mitaa ya jiji la Marrakesh kuimarisha pumzi









ADVERTISE HERE