Baada ya kutambulishwa hapo jana, beki kiraka Yannick Bangala alijiunga na wenzake moja kwa moja kuendelea na maandalizi ya pre season nchini Morocco
Bangala alitua Yanga akitokea klabu ya FAR Rabat, hivyo yeye sio mgeni hapo Morocco
Wananchi watarajia kumshuhudia 'mbashara' wiki ijayo kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi, August 29 katika dimba la Benjamin Mkapa
ADVERTISE HERE