Wakati wiki ya Mwananchi ikitarajiwa kuzinduliwa visiwani Zanzibar Jumamosi, August 21, Wananchi wajiandae kwa burudani ya aina yake pale uwanja wa Benjamin Mkapa August 29 sku ya kilele cha wiki hiyo
Ni siku ambayo Mashabiki wa Yanga wataishuhudia timu yao mbashara baada ya kumaliza pre-season huko Morocco
Unaambiwa gari limeshawaka mapema tu! Msmu huu lazima kieleweke...!





ADVERTISE HERE