Klabu ya Yanga imepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha mchambuzi mahiri wa soka nchini Mwalimu Alex Kashasha aliyefariki dunia mapema leo wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam
Uongozi wa Yanga umetuma salamu za rambirambi kwa Shirika la Utangazaji (TBC), Familia ya marehemu, ndugu jamaa na marafiki na wanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania

ADVERTISE HERE