Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa taarifa kwa umma kuwa siku ya Jumapili, Januari 07 kwenye uwanja wa Karume kutafanyika usaili wa kusaka vijana wenye vipaji vya kusakata kabumbu
Wazazi wamealikwa kuwapeleka vijana wao ambao wako chini ya umri wa miaka 15.
Usaili huo utaendeshwa na wakongwe waliotamba na klabu ya Yanga zamani kama Keneth Mkapa, Maalim Saleh, Edibily Lunyamila na Ramadhani Kampila

ADVERTISE HERE