Yanga wameweka kambi katika kituo bora kabisa cha soka nchini Morocco
Unaweza kudhani mandhari ya maeneo haya ni nje ya bara la Afrika, kule Amerika au Ulaya
Ni eneo tulivu lenye kila kitu kwa ajili ya maandalizi ya timu


ADVERTISE HERE