Jezi wanazotumia Yanga nchini Morocco ni maalum kwa ajili ya pre-season tu
Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema uzi kamili wa Yanga utawasili kabla ya msimu mpya kuanza
NB:
Hiyo jezi haikuigwa timu yoyote, mashabiki wa Yanga waliitengeneza na kuivaa wakati Plateau United walipokuja nchini kucheza na Simba mchezo wa ligi ya mabingwa
ADVERTISE HERE