Wakiwa katika siku yao ya kwanza ya mazoezi huko Morocco, wachezaji wa Yanga wanaonekana kufurahia kambi hiyo
Tofauti ilivyotarajiwa na wengi, nyota wapya hawakuhitaji muda mrefu kuweza kuzoeana na wenzao waliowakuta
Hii ni habari njema kwa kocha Nasreddine Nabi ambaye sasa atakuwa na kazi rahisi ya kuwaunganisha wachezaji uwanjani kabla ya kuanza michuano ya ligi ya mabingwa mwezi ujao
Dalili njema zinaonekana mapema, msimu ujao mateso yatakuwa makubwa kwa timu pinzani!
Ushindani katika kila nafasi unatarajiwa kuwa mkubwa, kwani kila eneo lina angalau wachezaji wawili wenye uwezo unaokaribiana





ADVERTISE HERE