Kikosi cha Yanga kimeanza program ya mazoezi nchini Morocco chini ya kocha mkuu Mohammed Nasreddine Nabi
Ni maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu na michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Wananchi watakuwa Morocco kwa takribani siku 11 kujiweka sawa



ADVERTISE HERE