Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji, ametangaza kumalizika kwa muda wa Kamati zote ndogo zilizoundwa kwa mujibu wa Katiba
Taarifa iliyotolewa na Yanga imebainisha kuwa Mwenyekiti na Kamati ya Utendaji watateua Kamati mpya haraka iwezekanavyo ili kuendelea kusaidia michakato mbalimbali ya Maendeleo na Uendeshaji wa klabu
ADVERTISE HERE