Djigui kuungana na Yanga Morocco

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2021
Djigui kuungana na Yanga Morocco

Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra ameondoka Mali kuelekea Morocco tayarfi kwa kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi na michuano ya Kimataifa

Djigui ambaye aliibuka mlinda lango bora wa ligi kuu ya Mali msimu uliomalizika, ni miongoni mwa wachezaji ambao waliruhiswa kurejea nchini mwao baada ya kusaini mikataba yao jijini Dar es Salaam

Ataungana na wenzake Morocco, kikosi kikiondoka mchana wa leo jijini Dar es salaam, wakitarajiwa kulala Dubai na kuendelea na safari kesho Jumatatu

Nyota wengine watakaoungana na timu nchini Morocco ni kiungo Khalid Aucho, Yacouba Songne na beki kisiki Yannick Bangala

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’