Aliyekuwa mlinzi wa Yanga Said Juma Makapu amesajiliwa na klabu ya Polisi Tanzania kwa mkataba wa miaka miwili
Makapu amesaini mkataba wa kuitumikia Polisi Tanzania jana
Baada ya kuitumikia Yanga kwa miaka saba, utumishi wake katika kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria umefikia tamati
Anakwenda kuungana na nyota wa zamani wa Yanga mkongwe Kelvin Yondani na kiungo Abdulaziz Makame
Kila la kheri katika majukumu mapya...!
ADVERTISE HERE