Klabu ya Yanga imeingia makubaliano ya Ushirikiano na KCCA ya Uganda
Ushirikiano huo utahusisha masuala mbalimbali ya maendeleo baina ya klabu hizo mbili
KCCA inakuwa timu ya pili kuwa na ushirikiano na Yanga baada ya Raja Casablanca



ADVERTISE HERE