Yanga yafunga usajili na wachezaji 28

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Aug 2021
Yanga yafunga usajili na wachezaji 28

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wamekamilisha michakato yote ya usajili kwa kuzingatia mapendekezo yaliyotolewa na Kocha Mohammed Nasreddine Nabi

Bumbuli amesema wamesajili wachezaji 28, nyota wa kigeni 10 na Watanzania 18

Msemaji huyo wa Yanga pia amethibitisha kuwa wamekamilisha usajili wa mlinzi wa kati Yannick Bangala Litombo

Aidha Bumbuli amesema kiraka Said Juma Makapu ni miongoni mwa wachezaji walioachwa baada ya mkataba wake kumalizika huku wakipokea ofa kutoka moja ya klabu ya Ligi Kuu inayomtaka Waziri Junior

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’