Aliyekuwa winga wa Yanga, Tuisila Kisinda, amekamilisha uhamisho wake na klabu ya RS Berkane inayoshiriki ligi kuu ya Morocco
Kisinda ameanza mazoezi ya kikosi cha timu hiyo kinachonolewa na kocha Florent Ibenge
Kisinda ameungana na aliyekuwa kiungo wa Simba Clatous Chama ambaye pia amesajiliwa na timu hiyo
Kila la kheri Kisinda, wananchi wataendelea kukumbuka mchango wako
ADVERTISE HERE