Winga Ducapel Jesus Moloko ametua nchini Alfajiri ya leo akiongozana na aliyekuwa nahodha wake katika klabu ya As Vita Djuma Shabaan
Moloko winga mwenye kasi na kimbunga anachukua nafasi ya Tuisila Kisinda aliyeanza maisha yake mapya kunako klabu ya RS Berkane
Leo Yanga inatarajiwa kuwatambulisha Moloko na Djuma kumaliza uzushi uliokuwa ukienezwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu ujio wa wachezaji hao
Hii Yanga hii, kuna watu maji wataita 'mma'
ADVERTISE HERE