Zipo tetesi kuwa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania linaweza kufanya mabadiliko ya kanuni kuongeza idadi ya wachezaji wa kigeni wanaoweza kusajiliwa kutoka 10 na kuwa 12
Hata hivyo kanuni hiyo, itakuja na sharti kuwa wachezaji wasiozidi nane tu ndio wataruhusiwa kuanza katika mchezo wa ligi kuu
Kumekuwa na mjadala mkali mitandao juu ya mabadiliko hayo kama yatafanyika na athari zake kwa wachezaji wetu wa ndani
Je ongezeko hilo ni sawa au litakuwa na athari kwa mustakabali wa wachezaji wa ndani? na pengine kuathiri timu ya Taifa?
ADVERTISE HERE