Wachezaji 28 kuingia kambini Morocco

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Aug 2021
Wachezaji 28 kuingia kambini Morocco

Msafara wa wachezaji 28 na viongozi 16 wataondoka jijini Dar es Salaam August 15 kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu mpya

Kulingana na taarifa iliyopatikana mapema leo, Yanga itaweka kambi ya siku 10 katika kituo cha michezo cha King Mohammed VI kilichopo katika mji wa Sale

Wachezaji wote wanapaswa kuwa wamerejea kutoka mapumziko kabla ya August 13 kuanza maandalizi muhimu ya safari hiyo

Baada ya kambi hiyo, Yanga itarejea jijini Dar es salaam kwa ajili ya tukio la Wiki ya Mwananchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
2d ago
READ MORE β†’