Klabu ya Yanga imeweka hadharani mandhari ya eneo watakaloweka kambi huko Morocco
Mapema leo Yanga ilitangaza kuwa wanaelekea Morocco kuweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao
Ni sehemu tulvu yenye kila kitu, Kocha Nasreddine Nabi atapata wasaa mzuri wa kuwaandaa vijana wake tayari kupigania mataji msimu wa 2021/22
ADVERTISE HERE