Salamu za shukrani kwa Metacha, Shikhalo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Aug 2021
Salamu za shukrani kwa Metacha, Shikhalo

Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa shukrani za dhati kwa wachezaji Metacha Mnata na Farouk Shikhalo kwa utumishi wao ndani ya klabu ya Yanga

Wachezaji hao mikataba yao imemalizika na Yanga imeeleza kutokuwa na mpango wa kuwaongeza mikataba mipya

Yanga imewatakia wachezaji hao kila la kheri katika maisha yao ya soka nje ya Yanga

Nae Shikhalo amewashukuru wapenzi, wanachama na mashabiki wa Yanga kwa sapoti waliyompatia kipindi cha miaka miwili alichoitumikia Yanga

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Shikhalo ameandika ujumbe wa kuwaaga mashabiki wa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’