Hatubomoi bali tunaboresha - Senzo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Aug 2021
Hatubomoi bali tunaboresha - Senzo

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Mshauri Mkuu wa Yanga Senzo Mazingisa amewataka mashabiki wa Yanga kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho klabu inaendelea kujiimarisha

Aidha Senzo amesema ni kawaida mwwanzo au mwisho wa msimu wachezaji, makocha, na hata viongozi wanaweza kutoka klabu moja kwenda nyingine

Senzo ameeleza kuridhishwa na maboresho ya kikosi yaliyofanywa mpaka sasa na kuwapongeza wote waliohusika

Senzo amegusia kuwa michuano ya Kagame imewasaidia kufanya tathimini ya wachezaji vijana ambapo watatoa fursa kwa bench la Ufundi kuona namna nzuri ya kuwatumia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’