Leo kuna tukio la mchezaji mkubwa anatambulishwa na Yanga baada ya kuwanyan'ganya watani tonge mdomoni..!
Wananchi mmeambiwa wekeni bando msije toa lawama baadae...!
Imeelezwa saa nane mchana, mchezaji mkubwa anatambulishwa kwenye familia ya Yanga....!
ADVERTISE HERE