Droo ya hatua ya awali na raundi ya kwanza michuano ya ligi ya Mabingwa na kombe la Shirikisho Barani Afrika inafanyika wiki ijayo, August 15, Cairo Misri
Kulingana na kalenda ya michuano hiyo, michezo ya hatua ya awali itapigwa kati ya Septemba 10-12 2021 na marudiano kupigwa kati ya Septemba 17-19 2021
Yanga ni miongoni mwa timu zitakazoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao baada ya kumaliza nafasi ya pili ligi kuu ya Vodacom msimu uliopita

ADVERTISE HERE