Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa mlinzi wa kati Abdallah Shaibu 'Ninja' alipata mshituko kwenye mguu wake wa kulia na tayari ameshapatiwa matibabu.
Beki huyo chipukizi amerejea kambini kuendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo unaofuata dhidi ya JKU.
Ninja aliumia katika dakika ya kwanza kwenye mchezo dhidi ya Mlandege, mchezo uliomalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

ADVERTISE HERE