Kiungo mshambuliaji Mapinduzi Balama ataendelea kuitumia jezi namba saba iliyoachwa na Fiston Abdulrazak
Balama ameanza mazoezi kwa sasa akiendelea na program maalum ya mazoezi kabla ya kuanza kuonekana uwanjani
Baada ya usajili wa Abdulrazak, Balama alibariki jezi namba saba aliyokuwa akiitumia, itumiwe na mshambuliaji huyo
Hata hivyo Abdulrazak hatarajiwi kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga msimu ujao na hivyo Balama ataendelea kuitumikia jezi hiyo
ADVERTISE HERE