Nimefarijika Haji kuondoka Simba - Sunday Manara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Aug 2021
Nimefarijika Haji kuondoka Simba - Sunday Manara

Nyota wa zamani wa Yanga Sunday Manara ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Afisa Habari wa Simba Haji Manara, amesema ni faraja kwake kuona mwanaye ameachana na klabu hiyo

Aidha Sunday ambaye ni Mwanayanga kindakindaki, amesema mgogoro huo unaofukuta Simba ni faraja kwake kwani ziko nyakati Yanga ilipitia machungu hayo na wao walifurahia

"Mimi haunihusu mgogoro wao kwa sababu mimi Yanga. Hivyo akitokea Haji kaondoka nafurahi akitokea mwingine kaondoka nafurahi kwa sababu hawa ndio waliotufanyia sisi Yanga hivyo lazima kama mimi nione hili ni faraja kwetu sisi Yanga," alisema Sunday katika mahojiano na TBC FM

Hata hivyo Sunday amesema hawatakuwa tayari kumpokea Haji kama akitaka kujiunga na Yanga kwa sababu anafahamu yeye ni Mwanasimba

"Wala hatumtaki kwa sababu yeye alisema Yanga haipendi sisi tunataka abakie hukohuko Simba kwake maana ndio timu aliyoamua kuipenda"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
59m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’