FT : Altabara 0-0 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Aug 2021
FT : Altabara 0-0 Yanga

Mchezo wa pili kombe la Kagame kati ya Altabara dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana

Ni mchezo ambao Yanga ilihitaji kushinda, wakilishambulia lango la Altabara kwa muda mwingi lakini Wananchi walishindwa kuutunbuliza mpira wavuni

Mlinda lango wa Altabara alikuwa kikwazo kwa washambuliaji wa Yanga kuweka mpira kambani pamoja na kuwa wakati mwingine umakini ulikosekana

Yanga sasa inahitaji kushinda mchezo wa mwisho dhidi ya Express kuweza kutinga nusu fainali

Ulikuwa mchezo mwingine ambao Yanga imeendelea kuwapa uzoefu baadhi ya wachezaji kutoka kikosi cha vijana kiungo Omary Chibada akiendelea kuonyesha umahiri wake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’