Yanga haikuwahi kumtaka Banda - Mfikirwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Aug 2021
Yanga haikuwahi kumtaka Banda - Mfikirwa

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa ametoa ufafanuzi kuwa hawakuwahi kumuhitaji mchezaji Peter Banda kwani sio miongoni mwa wachezaji waliopendekezwa kusajiliwa

Ametoa kauli hiyo baada ya Simba kumsajili mchezaji huyo huku mashabiki wakiaminishwa kuwa Yanga walijaribu kumsajili

Wakati mwingine ni mbinu tu inatumika kwenye usajili, kuibua tetesi ambazo lengo lake ni kuongeza thamani ya usajili unaofanyika

Tetesi za kuwa Yanga wanamuwania Peter Banda zilianza juzi na zilishika kasi usiku taarifa ikidai kuwa Yanga wamewapoka watani zao mchezaji huyo uwanja wa Ndege

Hata hivyo jambo hilo halikuwa na ukweli wowote wala Yanga haikuwa katika mchakato wowote wa kumsajili

Ni kama baadhi ya wanahabari walitumika kuvujisha tetesi hizo na Simba ili usajili huo utakapokamilika uonekane kuwa na thamani kubwa

Jambo ambalo uongozi wa Yanga unapaswa kufanya haraka ni kukanusha tetesi zozote zisizo za kweli ili 'kuzima' kiki inayotengenezwa kupitia jina lao

Mara kadhaa Simba wametumia mbinu hiyo na kuifanya Yanga ionekane dhaifu linapokuja suala la usajili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’