Yanga yatajwa kumnasa mshambuliaji Biashara United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Aug 2021
Yanga yatajwa kumnasa mshambuliaji Biashara United

Yanga inatajwa kumalizana na mshambuliaji wa Biashara United Yusufu Athumani

Yusufu alitua Biashara United katika usajili wa dirisha dogo, akitoa mchango mkubwa kwa klabu hiyo iliyomaliza kwenye nafasi ya nne

Katika miezi sita aliyoitumikia Biashara United, Yusufu amefunga mabao matatu ni kutoa pasi mbili za mabao

Yusufu atakuwa mchezaji wa tatu mzawa kutua Yanga baada ya Dickson Ambundo na Bryson David

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’