Ambundo gari limewaka siku ya kwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Aug 2021
Ambundo gari limewaka siku ya kwanza

Yanga inatumia michuano ya Kagame kujaribu baadhi ya wachezaji wake wapya pamoja na kuwapa muda wa kucheza wachezaji wa timu ya vijana na wale ambao hawakutumika sana katika kikosi cha kwanza

Katika mchezo wa kwanza dhidi ya Nyasa Big Bullets ambao ulimalizika kwa sare ya bao 1-1, kikosi cha Yanga kilikuwa na nyota wawili wapya, Dickson Ambundo na Jimmy Ukonde raia wa Msumbiji aliyetua akitokea klabu ya UD Songo

Pasipo shaka, Ambundo alikuwa nyota wa mchezo kutokana na umahiri wake alioonyesha dimbani

Ni mchezaji ambaye hakuna shaka, ataongeza kitu kwenye safu ya ushambuliaji ya Yanga

Alitua kutoka mkoani Mwanza usiku wa kuamkia jana, akashuka uwanjani pasipo kufanya mazoezi na wachezaji wenzake

Lakini ndiye aliyekuwa mchezaji tishio zaidi mbele ya safu ya ulinzi ya Nyasa Big Bullets

Bao la Yanga lilianzia mguu kwake, akahusika katika mashambulizi mengine matatu ya hatari

Ujio wa Ambundo unakwenda kuimarisha eneo la ushambuliaji kutokea pembeni akiungana na Tuisila Kisinda

Ambundo hajahitaji muda kudhihirisha ni mchezaji ambaye Yanga ilihitaji kuwa nae

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’