Mlinda lango wa Yanga Ramadhani Kabwili amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu katika mchezo wa kombe la Kagame dhidi ya Nyasa Big Bullets uliomalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1 jana
Kabwili alimfanyia madhambi mshambuliaji wa Nyasa nje ya 18 katika jitihada za kuokoa shambulizi
Hata hivyo mlinda lango huyo alifanya uamuzi sahihi wa kutoka langoni, tukio la kumfanya madhambi lilikuwa la bahati mbaya
ADVERTISE HERE