Sasa ni rasmi mshambuliaji Fiston Mayele ni mchezaji wa Yanga baada ya kutambulishwa na mabingwa hao wa kihistoria
Mayele atatumia jezi namba tisa katika kikosi cha Yanga msimu ujao
Karibu mchana nyavu, karibu mkali wa kuzifumania nyavu, Fiston Mayele
Ni rasmi yeye ni wa kijani and njano...!
ADVERTISE HERE