Kiungo Jimmy Julio Ukonde ni miongoni mwa wachezaji watakaoshiriki michuano ya Kombe la Kagame akiwa katika kikosi cha Yanga
Yanga imethibitisha kumnasa kiungo huyo kutoka klabu ya UD Songo ya Msumbiji
Mwamba huyu ni fundi kwelikweli, mahiri akitumia mguu wa kushoto. Kwa waliomfuatilia katika klabu ya UD Songo watakubali uwezo wake
Inaelezwa nyota huyo alitua nchini usiku wa kuamkia leo kimyakimya
ADVERTISE HERE