Mshambuliaji wa AS Vita na timu ya Taifa ya DR Congo Fiston Mayele amewasili nchini kukamilisha usajili wake na Yanga
Nyota huyo tayari yuko mikononi mwa Injinia Hersi Said, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Yanga ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM
Ni usajili uliokuwa na tetesi nyingi, sasa hatimaye mwamba ametua
Mwingine anayesubiriwa ni Heritier Makambao ambaye naye inaelezwa mchakato wa usajili wake ulishakamilika
Msimu ujao mbona watahesabu wenyewe mabao...!
ADVERTISE HERE