Wananchi wamepania kulibakisha kombe la Kagame Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jul 2021
Wananchi wamepania kulibakisha kombe la Kagame Jangwani

Kikosi cha Yanga tayari kimeingia kambini kuanza maandalizi ya michuano ya kombe la Kagame inayoanza keshokutwa Jumapili jijini Dar es salaam

Yanga itaanza kampeni ya michuano hiyo, August 1 kwa mchezo dhidi ya Nyasa Big Bullets ambao utapigwa saa kumi jioni, uwanja wa Benjamin Mkapa

Mchezo utakaofuata utapigwa August 04 dhidi ya Altabara Fc na baadae kumaliza hatua ya makundi kwa kuikabili Express August 07

Kikosi cha Yanga kina na mchanganyiko wa wachezaji wazoefu na wengine kutoka timu ya vijana U20

Benchi litaongozwa na Kocha Razak Siwa ambaye atashirikiana na Kocha Msaidizi wa U20 Fred Mbuna na Mohammed Hussein 'Mmachinga' ambay ni kocha wa Yanga Princess

Yanga imedhamiria kushinda michuano hiyo na kuongeza idadi ya makombe yake kufikia sita kwa michuano ya Kagame (zamani klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
5h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’