Tusker Fc wamejitoa kwenye michuano ya CECAFA Kagame Cup baada ya kukosa kibali kutoka chama cha mpira wa miguu Kenya
Uamuzi huo umepelekea kubadilika kwa makundi kutoka matatu na sasa kubakia mawili yakiwa na timu nne nne
Yanga imerusishwa kundi A kuungana na Nyasa Big Bullets, Express Fc na Atlabara Fc
Haya hapa makundi mapya
Kundi A
1-Yanga SC (Tanzania)
2-Big Bullets (Malawi)
3-Express FC (Uganda)
4-Atlabara FC (Sudan Kusini)
Kundi B
1-Azam FC (Tanzania)
2-KCCA (Uganda)
3-Messager Ngozi FC (Burundi)
4-KMKM (Zanzibar)
Yanga sasa itaanza michuano hiyo keshokutwa Jumapili kwa kuikabili Nyasa Bulltes mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa saa kumi jioni
ADVERTISE HERE