Uongozi wa Yanga umewataka wapenzi, wanachama na mashabiki wake kutulia wakati wakisubiri hukumu ya shauri la Bernard Morrison kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS)
Shauri hilo lilisikilizwa leo huko Uswisi,Β hukumu inatarajiwa kusomwa wakati wowote kuanzia leo mpaka tarehe 24 August 2021
ADVERTISE HERE