Mukoko kuiongoza Yanga Kagame Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jul 2021
Mukoko kuiongoza Yanga Kagame Cup

Kiungo Mukoko Tonombe anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoshiriki michuano ya kombe la Kagame inayoanza Jumapili August 01 jijini Dar es salaam

Wakati baadhi ya wachezaji waandamizi hasa wale waliotumika sana wakipewa mapumziko ya wiki mbili, imeelezwa Mukoko ameomba kubaki ili ashiriki michuano hiyo

Yanga itaingia kambini kesho Ijumaa majira ya mchana kuanza maandalizi ya michuano hiyo ambayo Wananchi watashuka uwanjani Jumatatu, August 02 kuikabili Express

Aidha wachezaji wapya mlinda lango Erick Johola, mlinzi wa kushoto David Bryson na winga Dickson Ambundo wanatarajiwa kujumuishwa katika kikosi cha Yanga kitakachoshiriki michuano hiyo

Wachezaji wengine ambao watashiriki michuano hiyo ni Ramadhani Kabwili, Paul Godfrey,Β  Dickson Job, Zawadi Mauya na Waziri Junior

Wachezaji wengine watatoka timu ya vijana chini ya miaka 20 ambao ni kipa Geofrey Magaigwa, mabeki M Msenda, Said Mashoto, R Msonjo na Ally Said, Omary Chibada, S Kwangala, J Guber, Best Kahemela, Abby Mikimba na Abdulkarim Yunus

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
55m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’