Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) leo itasikiliza kesi ya mgogoro wa mkataba kati ya Yanga na mchezaji wa Simba Bernard Morrison
Kesi hiyo awali ilipangwa kusikilizwa Juali 21, iliahirishwa kutokana na shamra shamra za sikukuu ya Idi
Yanga ilifungua kesi CAS baada ya kutorishishwa na maamuzi yaliyotolewa na Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji ya kubatilisha mkataba wa Morrison na Yanga na kumruhusu mchezaji huyo akajiunge na Simba akiwa mchezaji huru
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa amesema wana matumaini makubwa kuwa watapata haki yao huko CAS
ADVERTISE HERE