Uongozi wa Klabu ya Yanga umetuma salamu za pole kwa familia ya Ally Masoud Kipanya, kufuatia kifo cha mtoto wao mpendwa Malcom Ally Masoud aliyefariki dunia leo
"Uongozi wa Yanga umepokea kwa majonzi makubwa taraifa ya kifo cha Malcom ambaye alikuwa shabiki wa Yanga"
"Sisi sote ni wake, na kwake tutarejea Amen"
ADVERTISE HERE