Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa shukrani kwa Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wake kwa ushirikiano mkubwa waliotoa kwa klabu katika kuisapoti timu msimu wa 2020/21
Yanga imewataka wadau wake kuendeleza umoja na mshikamano kwenye msimu mpya wa ligi 2021/22

ADVERTISE HERE