Mukoko awaomba radhi Wananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jul 2021
Mukoko awaomba radhi Wananchi

Kiungo na mmoja wa manahodha wa Yanga Mukoko Tonombe ameomba radhi kufuatia tukio la kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba hapo jana

Mchezo huo uliopigwa uwanja wa Lake Tanganyika, ulimalizika kwa Simba kushinda bao 1-0 wakinufaishwa na kadi nyekundu aliyopewa Mukoko mwishoni mwa kipindi cha kwanza

Yanga ilicheza dakika 45 za kipindi cha pili wakiwa na wachezaji 10 ambapo walifungwa bao katika dakika ya 80

"Nachukuwa fursa hii kuomba radhi mashabiki pamoja na viongozi na benchi la ufundi kwa kilicho tokea katika mchezo wa final wa Yanga vs Simba. Kwamba sijakusudia kupewa kadi nyekundu ambayo labda ndo ilikuwa sababu yakupoteza mchezo huo. Naipenda sana timu yangu yanga DAIMA MBELE NYUMA MWIKO," aliandika Mukoko kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’