Simba wamefanikiwa kushinda kombe la FA baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga katika mchezo uliopigwa uwanja wa Lake Tanganyika
Kadi nyekundu aliyopewa Mukoko Tonombe imeigharimu Yanga kwani walilazimika kucheza kipindi chote cha pili wakiwa pungufu
Kikubwa ni kuwapongeza wachezaji kwa kupambana. Licha ya kuwa pungufu hawakuchoka mpaka pale waliruhusu bao kwenye dakika ya 80
Huu ni mwanzo wa maandalizi ya msimu mwingine kwa Yanga
Hongera wachezaji wa Yanga, mmepambana
ADVERTISE HERE