Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha soka nchini (FAT) sasa TFF Said Hamad El Maamry amefariki dunia
El Maamry ambaye alikuwa pia Mwanasheria maarufu, amewahi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo BMT
Amefariki dunia leo Hospitali ya Taifa Muhimbili
ADVERTISE HERE